izi sales!

izi sales ni application ya simu inayorahisisha mauzo. Inalenga kubadilisha jinsi wafanyabiashara (Mangi) wanavyouza bidhaa zao kila siku. izi sales itakuwezesha kuweza kuuza bidhaa kwa haraka kwa kutumia teknolojia ya ku scani na kuuza. izi sales itakusaidia kurekodi mauzo yako ya kilasiku na kukupa ripoti za faida na hasara.

phone iconphone icon